Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Siku hizi kamtindo ka kuonyeshana wazi mahusiano humu jf (aidha ya kweli au utani) kinazidi kupamba moto. Basi na nami kwa kuwawakilisha wale ambao kwa namna moja ama nyingine hutamani na wao wawe wamoja watakaokuwa wakitamba na couple humu jf, napenda kuwaambia tu tuwe watulivu, siku yetu ya kutamba inakuja.