Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
hahhahaah alafu ya uni ndo yananoga!mnaongozana km kumbi2Kama hukuweza kuonesha wakati upo primary au secondary school au university usitegemee hilo hapa JF
Hahahahaa naona umekumbuka mbali mno aise,hahhahaah alafu ya uni ndo yananoga!mnaongozana km kumbi2
saaaaanaHahahahaa naona umekumbuka mbali mno aise,
Hahahahahadereva msaada kwenye tutaa
Unataka kuchimba dawa?dereva msaada kwenye tutaa
ipo siku nitauimba huu wimbo ukiwa umebeba uhalisia wake katika maisha yangu humu jeiefu[emoji445] Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami nibarikiwe, nibarikiwe niba, niba, nibarikiwe
Ingawa sipati na ni kwa muda mrefu woyoyooooooo
Maumivu ya kudharauliwa, umasikini Ni kila siku, ninajipa moyo Ipo siku yangu tu, Ipo Siku, siku Ipo siku yangu tu Nami nibarikiwe, nibarikiwe niba, niba, nibarikiwe
Kipindi hiyo utaanza kujiita KING MSWATI JR!!ipo siku nitauimba huu wimbo ukiwa umebeba uhalisia wake katika maisha yangu humu jeiefu
Sema hakyamama...!Ujuwe tu kuwa jf baadhi yawatu wanabanduana live, huu utani huwa unaishia guest houses/lodge/hotel. Trust me, utani unafikisha watu mbali sana.
Hakyanani..tehSema hakyamama...!
Basi ngoja nami nijaribu bahati yangu sheikh... maana nina kafoleni ka mabebi hapa...Hakyanani..teh