chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Tulioshuhudia NCCR ikisambaratika kama tikiti maji lililotupwa kutoka ghorofa ya 50, sasa, kwa macho yao, watashuhudia anguko la chadema.
Chama hicho ambacho kinajinasibu kwa kula rushwa, kimejikuta kikining'inia kwenye uzi mwembamba, na ni dhahiri kitapasuka.
Pia soma
Chama hicho ambacho kinajinasibu kwa kula rushwa, kimejikuta kikining'inia kwenye uzi mwembamba, na ni dhahiri kitapasuka.
Pia soma
- CHADEMA itaingia Uchaguzi wa 2025 ikiwa Imesambaratika na kupasuka vipande vipande kama kioo
- Kwanini kila anayeondoka CHADEMA anamtaja Mbowe?
- Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa asema Maranja anaishi kwa kutegemea kuzururazurura kwenye korido za CHADEMA na kulamba viatu vya Mbowe, wenzake wanalamba asali
- James Mbowe: Demokrasia ya Chadema ni kubwa ndio sababu Msigwa ameweza kuwashutumu Viongozi wenzake bila Ushahidi, CCM hilo haiwezekani!