Kama ukipata vya kusimulia uje unisimulie ila huko kamwe siji. Ila usisahau kwenda kwa mromboo kwaajili ya mbuzi.Mkuu huko tumeshakaa sana sio lazima kukariri kujichanganya muhimu nataka niwe na vingi vya kusimulia, kama ningekua nakaa huko tu huku ningejua lini