Kwa wale wa boarding school's mliowahi kupigishwa simu chooni(form one) mje hapa

Kwa wale wa boarding school's mliowahi kupigishwa simu chooni(form one) mje hapa

lossoJR

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
2,711
Reaction score
2,384
Haha aisee nikikumbuka Hizi mambo huwa nacheka mno, hivi huyu mgunduzi wa hizi mambo za kukata MIKIA,kupigisha SIMU chooni na ile ya kumpa form one tsh 100(mia) akakununulie maandazi matano na chenji alete ni nani aisee ??
Haya mambo yalipamba sana moto 90's mpaka early 2000's. Sina hakika kwa 80's sababu sijasoma miaka hiyo,
Enzi hizo ilikuwa balaa,watu tumefulishwa sana nguo,kuchota maji,kuchukulia chakula viongozi na kadhalika[emoji2] [emoji2] [emoji2] , sio watoto wa sasa mayai mayai, hakuna hata kwenye mbavu zao..mwalimu mtoto,mwanafunzi mtoto yaani tafrani tu...
 
Nilikwenda boarding school nikitoka Tambaza baada ya demolished ya professor kapuya kuvunja shule yetu niliyakuta hayo lakini legacy ya shule niliyotoka iliwatisha sana aise baadaye nilikuwa kubwa la maadui hatari njuka walipata tabu sana
 
Kuna rafiki zangu wawili yaani ile siku wanaripoti wakaambiwa wacheze mziki kwa tune ya taarifa ya Habari, can't forget those days
 
Back
Top Bottom