Haha aisee nikikumbuka Hizi mambo huwa nacheka mno, hivi huyu mgunduzi wa hizi mambo za kukata MIKIA,kupigisha SIMU chooni na ile ya kumpa form one tsh 100(mia) akakununulie maandazi matano na chenji alete ni nani aisee ??
Haya mambo yalipamba sana moto 90's mpaka early 2000's. Sina hakika kwa 80's sababu sijasoma miaka hiyo,
Enzi hizo ilikuwa balaa,watu tumefulishwa sana nguo,kuchota maji,kuchukulia chakula viongozi na kadhalika[emoji2] [emoji2] [emoji2] , sio watoto wa sasa mayai mayai, hakuna hata kwenye mbavu zao..mwalimu mtoto,mwanafunzi mtoto yaani tafrani tu...