ishu n vp wana mipango, aisee naombeni msaada wenu coz mi nko mbey af nimechaguliwa pale, bt joining nimeona iko page 1 tu vp ndo ivo au af hamna sehem ya kujaza wala sijaona medcal exam form n kwamb hamna au 2taikuta kule? Af na kuhusu mchanganuo wa mkopo kupata % inakuaje? Msaada jaman kwa mnaojua..!!