Kwa wale wa duce ujumbe huu unawafaa sana

Kwa wale wa duce ujumbe huu unawafaa sana

shinji

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
257
Reaction score
174
Hii nimeipenda na nimeamua kuileta hapa kwenu wana DUCE wenzangu. Pia mnaweza kuitafuta page yenyewe kuona mengi zaidi

DUCE YETU

Habari zenu WANADUCE,
Kwanza tunawapongeza
wote kwa kumaliza T.P
Ni matumaini yetu kuwa
mambo yamekamilika
vema licha ya changamoto
za hapa na pale.
Kumbukeni ualimu ni kazi
yetu na kufundisha ni
jukumu letu hivyo lazima
tujitume bila shuruti.

Dunia inabadilika kila
uchao na wanafunzi wetu
vilevile. Hali hii
imepelekea uanzishwaji
wa sera na maazimio
mengi ya Elimu ikiwemo
MATOKEO MAKUBWA
SASA "BIG RESULTS NOW"
Lazima tujitoe na kufanya
kazi haswa ndipo matokeo
makubwa yaje. Hakuna
mtu pekee atakaeleta
matokeo haya bali
tukiunganisha nguvu
tutafika.

Kumbukeni Dunia
inabadilika na watoto
wanabadilika hivyo lazima
Walimu tujitwike mzigo
huu mzito kunusuru
watoto wetu na viwango
vya Elimu ya Tanzania
Asanteni sana

~duceyetu'13~
 
Back
Top Bottom