Kwa wale wa first round TCU

kombo mzalendo

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
118
Reaction score
11
Habarini wanajamvi napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.

Naomba kuuliza swali eti wale waliopita kwenye first round ya TCU wanauhakika wa kupata vyuo moja kwa moja au hata wao wanaweza kutemwa ?

Nawasilisha wanajamvi.
 
habarini wanajamvi napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu.
naomba kuuliza swali eti wale waliopita kwenye first round ya tcu wanauhakika wa kupata vyuo moja kwa moja au hata wao wanaweza kutemwa?
nawasilisha wanajamvi.

utatemwaje wakati ushaambiwa u have been selected
 
Kwa mwaka huu wanafunzi ni wachache kulingana na nafasi zilizopo vyuoni ko kila mwanafunzi aliechaguliwa atapata post tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…