Kwa wale wa IAA (Institute of Accountancy Arusha)

Nicky nicky

Senior Member
Joined
Aug 20, 2011
Posts
106
Reaction score
9
Naomba mwenye kufahamu 'modules' za kozi ya post graduate diploma in procurement and supply katika chuo cha Institute of Accountancy Arusha.Je, kwa mwenyeshahada ya elimu anaruhusiwa kusoma kozi hiyo?Nawasilisha
 
mkuu.kozi ni kama ifuatavyo SEM ONE:Strategic supply mgt,global sourcing mgt,accounting for managers and bankers,advanced strategic procurement,advanced public procurement SEM TWO:Research and consultancy methodology,contracts mgt,procurement and supplies audit,project mgt,HR mgt.kaz kwako.yes waweza kusoma hta ukiwa bachelor ya ualimu
 
Nashukulu sana mkuu maana siku nyingi nimehitaji hii kitu.Ubarikiwe.
 
vipi kuhusu course content kwa chuo cha T.I.A ? na wapi kati ya IAA na T.I.A patanifaa zaidi hasa katika kukabiliana na mitihani ya PSPTB stage 4 & 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…