Ngosha Mashine
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 665
- 1,360
Nipo Tanga maeneo ya Lushoto kwa Wasambaa huku!
nasikia mwezi huu(may) katikati itaingia Ramadhan, karibu kila nyumba kuna mwali watu ni mwendo wa kula ubwabwa
kuna nini kati ya Ramadhan na kuoa?
nasikia mwezi huu(may) katikati itaingia Ramadhan, karibu kila nyumba kuna mwali watu ni mwendo wa kula ubwabwa
kuna nini kati ya Ramadhan na kuoa?