Kwa wale wa kuoa na kuolewa

Ngosha Mashine

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
665
Reaction score
1,360
Nipo Tanga maeneo ya Lushoto kwa Wasambaa huku!
nasikia mwezi huu(may) katikati itaingia Ramadhan, karibu kila nyumba kuna mwali watu ni mwendo wa kula ubwabwa

kuna nini kati ya Ramadhan na kuoa?
 
Mmh.

Angalia yaliyokupeleka Mtani wangu Ngosha mengine waachie wenyewe wahusika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…