kwa wale wa mathematics!,


good broza .sasa huyo wa coet udsm anakuambia hamna njia
 


I like your approach
 

nimekubali kaka kwa kuwaumbua coet mwaka wa nne!!
Hawana knowledge ya exponential logarithm!
Tht is the way it suposed to be
 
mboni inaonekana kama copy and paste hiyo mzee hasa kuanzia hapo kwenye bluu

wenye akili ndogo kama nyie ndo huwa mnadiscus kwamba katoa wap lkn magreatthinker wanachukua idea na kusema let me try anaza way
 
2 log x= x/25
50 log x = x

baada ya hapo ni kupachika namba kulia kushoto na balance inapatikana @ x= 100
50 log 100 = 100
50*2 = 100
100 = 100
since i know X = 100 then solution to suit my answer will be forged as well
 
2 log x= x/25
50 log x = x

baada ya hapo ni kupachika namba kulia kushoto na balance inapatikana @ x= 100
50 log 100 = 100
50*2 = 100
100 = 100
since i know X = 100 then solution to suit my answer will be forged as well

if you didn't know x=100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…