Kwa wale wa Mount Meru University(MMU)

Ukwel mtupu

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
40
Reaction score
8
Wakuu ninatarajia kujiunga na chuo kikuu mwaka huu na ninapendelea kusoma katika chuo hiki kampasi ya mwanza kwa koz ya BBA lakin nilikuwa nataka nijie kuhusiana na ubora wa elimu inayotolewa katika chuo hiki pia idadi ya masomo kwa semister moja ili niweze kufanya chaguo sahihi.
Naombeni kwa wanaojua wanifahamishe wakuu!!!
 
"nijie"
nahisi ulitaka kuandika "nijue"...ila kibongobongo tu ujumbe ushafika so subiri wanakuja
 
daaaa!...me napita tu jaman...Mawazo yangu yote yanawaza UDSM tu...ebu ngoja nikaze but coz bado mwez hiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…