H Halima james Member Joined Jun 3, 2013 Posts 32 Reaction score 3 Jun 11, 2013 #1 Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba mzumbe cz ilove hichi chuo bt mmejaribu kuulizia nimeambie wale wenye ufaulu mzur ndo wanokua admitted. m gpa yangu ni 3 je kuna uwezekano wa kupata... msaada wenu tafadhalii
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba mzumbe cz ilove hichi chuo bt mmejaribu kuulizia nimeambie wale wenye ufaulu mzur ndo wanokua admitted. m gpa yangu ni 3 je kuna uwezekano wa kupata... msaada wenu tafadhalii