Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba economics ya mzumbe bt nmeckia wanachukua wenye ufaulu mzuri tu. mm gpa yangu ni 3... je naweza kupata
Mm nimemaliza diploma ya financial administration so nlikua nataka kuomba economics ya mzumbe bt nmeckia wanachukua wenye ufaulu mzuri tu. mm gpa yangu ni 3... je naweza kupata
utapata dada yangu we ombaaa tuu...!!!sasa zipo tatu kuna economics in economic policy and planning,economics in economic project planning and mgt na economics in population and dev....nakushauru anza kujazaa ya population bz izo nyingine zina competetion kubwa na marks zako ni ndogo...all best wishes..