ninaomba kuwauliza jamani hivi hostel za mzumbe mbeya campus zinajitosheleza kulingana na idadi ya wanafunzi waliochaguliwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kwa anayefahamu jamani ninaomba msaada,,,,,,,,,,,,,,,,,,
ndugu yangu, hostelli za mzumbe hazijitoshelezi hata kidogo. Kwa makisio yangu zinachukua not more than 30% ya wanafunzi wote wa Mzumbe mbeya campus College. na mwaka huu wa masomo kuna kozi mpya 13 zinaongezwa, nyingi kati ya hizo ni full time courses. Kwa hiyo ndugu yangu ujaribu kuja mapema kutafuta makazi mapema, endapo waja huku