Kwa wale wa mzumbe university

Lionell

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
32
Reaction score
5
wale wote mliochaguliwa mu wameishatoa allocation for accomodations xo angalieni mapema kama jina halipo jipange kulipa off campus maana ni gharama....na pia wametoa unatakiwa kulipa kiac gan kama ada na michango mingine kulingana na mkopo uliopewa.....for more info tembelea web ya chuo
 
Duuuuuuuuu...sasa hapa wale Tuliokosa Room cjui itakuwaje.?maana Off Campus zenyewe zpo mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…