FROM WHAT I KNOW almost degree programs at sua are marketable...kuhusu msuli mkuu hata sociology,law,maths msuli ni lazima....siwez semea sana hili kwa maana sijafika sua bado...ila msuli ni lazima!!!!
watu wengi sasa wamewekeza kwenye kilimo na ndo kauli mbiu ya taifa...so hata future yake lazima itakua nzuri we mwenyewe tu na hiyo miaka 3 pande za sua!!!! kuhusu field tungoje wadau wengine waje...ila naiman itakua ni mwaka wa 2 na 3(japo sina uhakika)....nawasilisha...