Jackal Malinza
Member
- Aug 28, 2013
- 33
- 4
Habari zenu wakubwa? Mimi nimechaguliwa chuo kikuu cha SUA faculty ya BSc. Agricultural Economics and Agribusiness, kama waswahili hupenda kusema ndege mwoga huishi miaka mingi na ndege mjanja hunasa katika tundu bovu, hivyo basi nilikuwa napenda kuuliza maswali ya fuatayo:
1. Je ada unalipa ukiwa nyumbani yaani sasa hivi unakwenda kulipa ktk akaunti iliyotajwa au unangojea mpaka tarehe 15 siku moja baada ya kufungua then unalipia, au kuna utaratibu mwingine? if so ni upi?
2. Utaratibu wa kulipa hostel upoje maana nimeshindwa kuelewa hata tone ktk maelezo yao?
3. Naomba mnitajie vitu vyote muhimu na ambvyo ni vizuri kuvinunua na kuwa navyo chuoni hapo?
4. Ningependa msaada ktk mavazi, ni mavazi gani yanafaa kuvaliwa na katika wakati gani?
Akhsante sana kwa msaada wenu..... ONE LOVE........