Kwa wale wa sua na vyou vingine kama unajua utaratibu wa chuo cha sua nahitaji msaada

Joined
Aug 28, 2013
Posts
33
Reaction score
4
Habari zenu wakubwa? Mimi nimechaguliwa chuo kikuu cha SUA faculty ya BSc. Agricultural Economics and Agribusiness, kama waswahili hupenda kusema ndege mwoga huishi miaka mingi na ndege mjanja hunasa katika tundu bovu, hivyo basi nilikuwa napenda kuuliza maswali ya fuatayo:
1. Je ada unalipa ukiwa nyumbani yaani sasa hivi unakwenda kulipa ktk akaunti iliyotajwa au unangojea mpaka tarehe 15 siku moja baada ya kufungua then unalipia, au kuna utaratibu mwingine? if so ni upi?
2. Utaratibu wa kulipa hostel upoje maana nimeshindwa kuelewa hata tone ktk maelezo yao?
3. Naomba mnitajie vitu vyote muhimu na ambvyo ni vizuri kuvinunua na kuwa navyo chuoni hapo?
4. Ningependa msaada ktk mavazi, ni mavazi gani yanafaa kuvaliwa na katika wakati gani?
Akhsante sana kwa msaada wenu..... ONE LOVE........
 

kwanza hongera sana kwa kuchaguliwa hiyo kozi ya AEA...ada kama unayo ni bora ukalipa kabisa sasa hivi..ila kama uliomba bodi ni busara ukangoja watakavyotoa majina ili ujue utalipa kiasi gani...then ishu ya hostel either ulipie kabisa ila siku ile uwahi na pay slip mana mara nyingi bank za kule huwa na msongamano mkubwa wa watu ila ni busara zaidi ukangoja ili ujue hostel ulipie kiasi gani mana huwa kuna tabia ya kupanda mkuu....then mavazi yoyote ya heshima tu kama mtanzania wa kawaida,vitu vya kununua calculator na vijadaftari though unaweza pata hapahapa....by da way karibu sana mazimbu..
 
thanx alot mkubwa, ada ya hostel wameweka ni 79,000/=
 
duh mbna hawana misimamo? halafu hv hawana join insruction?

jiandae kutoa 80000 na pale huwa hakunaga mgomo....pia join instruction zipo huwa wanatoa kule main campus kama unaharaka nenda hata kesho kuchukua ili upige dili ujaze kwa daktari kwenu huko na zingine siku ya kuripoti unaenda pale mazimbu pia huwa wanatoa ila jiandae kutoa 10000 hadi 20000 kujaza hizo form aiseee...all in all karibu usome kozi ya uhakika na yenye uhakika wa ajira.
 
Good karibu SUA, accomodation fee haijabadilika juzi(last wiki) kulikua na kikao kwa ajili ya accomodation ni vyema ukalipia chumba baada ya kuwa registered.Huwa wanashauri hivo usilipie chumba kama hujasajiliwa,Njoo na vyeti vinavyo hitajika ili kuondoa usumbufu wakati wa usajili. Welcome at center of excellence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…