Kwa wale wa tcu,kuna lililomtokea kama hili langu?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Nimelog in kwenye account ya tcu,kwenye ile sehemu ya selection status,nimekuta pameandikwa processed badala ya not yet processed kama ilivozoeleka,na kwenye kila kozi niliyo omba na penyewe nimeandikiwa processed alafu kuna kozi yangu moja ambayo ndio 1st choice,nimepigiwa mstari mwekundu.kuna mwingne lililomtokea kama hilo wakuu?
 
una kiherehere sana muda wa matokeo kutangazwa bado unakazana ku log in
 
una kiherehere sana muda wa matokeo kutangazwa bado unakazana ku log in

Hahaaa, msaidie kama unalijua hili...kiherehere lazima si unajua kitaa kinavyochosha mtu wangu! Lol
 
utapta tu kaka usijali karibu sana
 
yani dah tuwe wastaamilivu kwenye hiki kipindi kigumu
 
acha kutisha watu bana, hakuna kitu kama hicho, mambo bado jaman msiogope, anawarusha roho huyu
 
Pitz......Senetor teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh
 
Nadhani aliyepost anataka kuturusha roho. Tena sio 4m 6 leaver ni mwanachuo kama atabisha nitawatajia jina lake na course anayosoma pale mlimani au mkitaka pitieni post zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…