Bombaaaaaaaaaaaaaaa,,,hicho ni chuo ambacho wasoma intellectuals,,,,pamoja sana wakuuu,,,
first year students kuripoti oct 12 afu orientation course itaanza oct 14,wale malegendary kama mimi ni oct 21,hii itakuwa kwa UDSM(main campus,DUCE &MUCE) karibuni madogo wa mwaka wa kwanza,UDSM-the home of intellectuals
Bombaaaaaaaaaaaaaaa,,,hicho ni chuo ambacho wasoma intellectuals,,,,pamoja sana wakuuu,,,