Kwa wale wa Udsms

Kwa wale wa Udsms

Underdog

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
343
Reaction score
444
Hivi GPA ya mwisho(unayoonekana kwenye cheti cha kuhitimu chuo) huwa wanachukua ya mwaka wa mwisho(wa nne/wa tatu) au huwa wanaanza kuhesabia kuanzia mwaka wa kwanza hadi wa mwisho then wanatafuta average
 
mwaka wa kwanza hawahesabu udsm.wanaanza wapili.NOTE
 
Each candidate shall be required
to complete a minimum of 120
units to be eligible for graduation.
However for purposes of
computing the candidate's GPA,
only grades obtained from the
compulsory 90 course units in
the 2nd, 3rd and 4th year of study
shall be taken into account.
 
Back
Top Bottom