Kwa wale wadada wa ofisini, kanisani, msikitini na mitoko mbalimbali, njooni niwajuze chimbo bei rahisi na lenye vitu vikali

MaylaGladson

Member
Joined
Jan 18, 2020
Posts
17
Reaction score
25
Hello,

Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000.

Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000.

Lakini pia kwa wale wa msikitini na wapenda vaa stara kuna Mabaibui/Abaya mazuri mno kwa Tsh 15,000-20,000.

Haya karibuni sana whatsap kwa number ‪+255 718 770 746‬

Na kawaida kwa number 0742699355.

Wakaka mnakaribishwa pia kuwanunulia wake au wapenzi wenu

NINAPATIKANA DAR ES SALAAM,na ninatuma mikoani kote Tanzania kwa uaminifu mno.

Ahsanteni sana.

 
Wasap ndio siji... Inabidi post zako za huku ndio zinihamasishe kuja wasap
Basi sawa sio lazima sana,Labda kwa kukutaarifu Mimi sipost Jamii Forum sana na ni kwasababu ni mpaka niingie Chrome ndio niingie,sijajua km kuna app mnijuze..maana nashindwa kua active huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…