Na wewe nimdada,
Na upo single?!
Ebu anza kutufungukia ila wajao wajue tunatakiwa shusha vitu gani
Angalia usije ukakosa kama pasaka ileee..Eeh hapa ndio tunapowapaga warembo wakuenjoy nao pasaka hii
Haiwezi kua sawa check again
Hitimisho nitakutag.Haiwezi kua sawa check again
Kumbe nawewe pia ni mdada.mi nilijua ni ME.
Ikikarbia pasaka huwa wanakua wakwelWadada wote huwa wanasema "taken"
Kama ilivyo kwa wajuba duniani kote huwa "single"