Wako wapi sasa tujichukulie
Unataka utugawie wachumba?
na mi nimewaza hivyo anataka utugawie wachumba ama?[emoji23][emoji23]
Habari wanaJF
Lengo la huu uzi ni kukutanisha wadada wote ambao wapo single
Wakituelezea moja mbili tatu kuhusiana na usingle wao
Karibuni!!View attachment 1416132
Sent using Jamii Forums mobile app
Ata mim najishangaa kbs[emoji23]
Wew vuta mpk mwisho[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwanamke nasubiri aje niprove kama niendelee kumvutia manati au nilegeze
Sent using Jamii Forums mobile app