Kwa wale wahenga ,,mnamkumbuka huyu?

Kwa wale wahenga ,,mnamkumbuka huyu?

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
399
Reaction score
1,076
Alisifika duniani kote miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni
Swali?
Alikuwa nafasi gani uwanja?
Jina lake halisi ni nani?
Ni raia wa wapi?
Na unamkumbuka kwa lipi?
Huko mtaani kwenu mlikuwa nmamuitaje? Jina la utani
Screenshot_20220703-164256_1.jpg
Screenshot_20220703-164105_1.jpg
Screenshot_20220703-164239_1.jpg
Screenshot_20220703-164153_1.jpg
Screenshot_20220703-164047_1.jpg
 
Pierluigi Collina..
Alisimama kwenye mstari uwanjani, akawambia wale wachezaji atakae vuka hapo kadi nyekundu wawili wakapima upepo, wakavuka na aliwapa kadi nyekundu kweli...
 
Alikuwa siyo refa wa mchezo mchezo. Kama anavyo onekana kwenye picha. Na alikuwa makini kweli kweli kwenye maamuzi yake.
 
Anaonekana alikua mtata sana
 
Back
Top Bottom