big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 399
- 1,076
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vijana wa juzi hamuwezi mjua huyoMbona ni kama specie ya alliens!
Okay hawezi mjua huyoNilikuwa sijaja duniani
Kabisa alikuwa na msimamo kweli kweli hataki ujingaAlikuwa siyo refa wa mchezo mchezo. Kama anavyo onekana kwenye picha. Na alikuwa makini kweli kweli kwenye maamuzi yake.
Sisi kwetu kipindi hicho tulikuwa tinamuhita FUVUMbona ni kama specie ya alliens!
Hajawahi kufuga nywele huyu mzeeSisi kwetu kipindi hicho tulikuwa tinamuhita FUVU
Alafu mbona kama na kope/nyusi hana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hajawahi kufuga nywele huyu mzee