Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
...hahahahahaha..tisha sana mwanangu;Tunadum ah tunadum si wagum
tunadum ah tunadum si wagum
Verse 1
Akili zangu nyingi kama nywele.....
.....tunapiga keleleeee
Tunatisha,tushakat tamaa ya maisha
Spendi fujo mapigano wala vitaaa
Hahaha babu unashushuaHebu wewe nenda kasikilize "bata kavaa raizoni kuku kapanda baiskeli"
[color=]Sikushushui mjukuu wangu bali kila jambo na wakati wake![/color]Hahaha babu unashushua
Sikushushui mjukuu wangu bali kila jambo na wakati wake!