Kwa wale wajuao habari

Kwa wale wajuao habari

Alex Bayona

Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
70
Reaction score
6
Wakubwa naomba mnijuze na mnipe uhakika kwa tetesi hizi nilizozisikia kuwa wizara ya elimu imetanganza upya application za diploma kwa wale wenye s tatu kwa waliochukua science? NIJUZE TAFADHARI!!
 
Wakubwa naomba mnijuze na mnipe uhakika kwa tetesi hizi nilizozisikia kuwa wizara ya elimu imetanganza upya application za diploma kwa wale wenye s tatu kwa waliochukua science? NIJUZE TAFADHARI!!

Kk ndio kama una S tatu ktk kombi ya science unatakiwa utume maombi wizaran kk mwish wa kupeleka maombi ni tar 20 augost kwa maelezo zaidi nitafute my no.0766848077 poa!
 
Daaah kwa style tuanyoenda nayo TZ imekwsha yaaan F5 wanepunguza sasa hv diploma daaha kweli hatar
 
Back
Top Bottom