Ndio maana hata ajira umekoswa, badala ya kumtegemea Mola wako unapotuma maombi upya wizarani unamtumaini binadamu kwa kununua haki yako! Angalia wata ku anti Mseven ili upate ajira. Mtumaini Mungu utafanikiwa. Sikiliza wimbo wa Bonny Mwaitege unaitwa "Na alaniwe".