Ibnu Nindi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 388
- 71
jaman post za coz hz ztatoka lin kwa anae jua atujuze wadogo zetu wamechoka mtaan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we umejuaje kama wamechoka,na wamechoka nini,ndo wamekutuma uje uwaambiejaman post za coz hz ztatoka lin kwa anae jua atujuze wadogo zetu wamechoka mtaan
kwa wale walioomba gadre3a utcha naona yamekelibia,huwa yanatoka mwez wa 7,,afya wa 9 na kilimo wa 8
mwez 7 ndo huu kaka naona mambo badoo!!!