kwa wale walio omba nafasi za mafunzo ya ualimu,afya na kilimo diploma na gradeA 2013

Ibnu Nindi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
388
Reaction score
71
jaman post za coz hz ztatoka lin kwa anae jua atujuze wadogo zetu wamechoka mtaan
 
ww ujui wamesota nymban mwka sasa.km huna cha kujbu wapishe wenye akili watoe hoja we mbumbumbu kaa chonjo@spleen
 
Tatizo la jukwaa la elimu jf ni idadi kubwa ya watoto wa 1990's,hamuez kumjib mtu vizuri?
 
kwa wale walioomba gadre3a utcha naona yamekelibia,huwa yanatoka mwez wa 7,,afya wa 9 na kilimo wa 8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…