Kwa wale walio tayar kuolewa

Kwa wale walio tayar kuolewa

Ibinabdillah

Member
Joined
Jun 27, 2020
Posts
13
Reaction score
4
Mm nikijana mwenye umri wa miaka 30 nipo Zanzibar kama yupo alotayar kuolewa mm nipo tayar kuoa vigenzo vyenginevyo
Muislam
Mrefu
Mwembamba
Half cast
Nywele ziwe black na ndef
Muajiriwa au mfanya biashara

Wasifu wangu mm.
Mweupe
Mwembamba
Mrefu
Mjasiria mali
Alie tayar anicheki pm.
 
Hongera kwa hatua uliofikia
 
Back
Top Bottom