daa!!kiukweli sijawah kufika mtwara kwa wale wanaoyajua maisha ya mtwara watujuze basi maisha ya uko yakoje...bei ya vyumba vya kupanga,chakula na hata mirupo kwa wale watumiaji...!!
daa!!kiukweli sijawah kufika mtwara kwa wale wanaoyajua maisha ya mtwara watujuze basi maisha ya uko yakoje...bei ya vyumba vya kupanga,chakula na hata mirupo kwa wale watumiaji...!!
Itz grown town, STEMMUCO ni chuo kipo around town, ocean shore, maisha club, makonde loyal club, burudani na starehe ni nyingi mno. Mirupo ni yakumwaga toka chuo cha TPSC af easy to carry 4cheap..bei za standard room ni kuanzia elf30 mpk elf45, misosi ndio bei kidogo.
I was graduated dea on dec.2012
yeyote msichana aliyeko mwanza na kachaguliwa stella maris anitext 0685733122 ampe company dada yangu nae pia kachaguliwa ili wasafiri pamoja'
CORRECTION...its a growing town/it is a developing town... na sio i was graduated dea ni i graduated there.... (nothing personal it is just a correction)
daa!!kiukweli sijawah kufika mtwara kwa wale wanaoyajua maisha ya mtwara watujuze basi maisha ya uko yakoje...bei ya vyumba vya kupanga,chakula na hata mirupo kwa wale watumiaji...!!
kuzuri! Khcu umeme ndo ucseme hamuna shidaa! Me nimesoma ndanda boys pale
ndanda ndio nini?
yupo mdogo wangu ni mwaname yupo mwanza kapata hapo vipi nimsitue?