Kwa wale waliochaguliwa udsm bila mkopo, jaman j3 ndio hiyo, opening day

Vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata

kidogo kip tulichopata?
 
ndg zangu inauma sana wakati tunatafuta suruhu ya haya matatizo harafu wengine wanatukejeri humu ndani nashindwa kuelewa hivi wewe unaposema upendeleo una maana gani au unafikiri kwa makalio.
 
Vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata

hata hicho kidogo wangepata wangeridhika.tatizo ni kuwa hata hicho kidogo hawapati kabisa.hali ya maisha sasa ivi iko juu,wazazi wapate wapi hela ya kumsomesha mwanafunzi elimu ya juu?ada tu za sekondari waliuza mbuzi na ng'ombe.ije kuwa ya chuo?sitasahau nlikuta mjomba wangu anataka kukata mti mkubwa tu wa mbao auuze kwa 80elfu,ili amlipie mtoto karo ya 35000.nikaona haya nkasema ntamlipia karo ya mwaka.sasa huyu ni sample ya wazazi.next year atamaliza form six.baba yake alikosa 35000,atajapata wapi hela ya kumlipia fees,accomodation and meals?tatizo kuna watu wanazaliwa kwenye familia zenye uwezo wa lipato cha juu,wanadhani maisha kwa kila mtu ndivo yalivo.
 
Njoo hapa chuo upate "mordality" na usijali muda si mrefu mnapata mkopo wenu,maana hii nchi bila kushinikizwa hamna linalowezekana
 
Ndugu yangu unawadanganya bure, wakiandamana 2tawapiga virungu na washawasha. Jaribu muhone.
 
hivi nyie mliokosa mkopo si mliambiwa msiripoti vyuoni mpaka hapo wizara itakapoto tamko? sasa haraka ya nini? kuweni na subira madogo
madogo wana hamu ya kuingia versity ili watambe. Kumbuka kuna kudisco na kusupp ukiwa luxirious.
 
vijana..kumbukeni mmezaliwa kwenye nchi masikini.
Mkopo ni kama favour tu mnayopewa na serikali, siyo kitu cha lazima! Kwahiyo ridhikeni kwa kile kidogo mnachokipata
unafaa kuzikwa bila jeneza!!!!
 
Nendeni chuo,mlianzishe pale rev square la sivyo mtaambulia patupu.
 
J3 mi ntaripoti tu. Poleni sana ambao mmekosa mkopo. Nimesikia kuwa kuna matokeo mapya watatangaza. Kuweni attention mtapewa kilicho chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…