M mercy heart Member Joined Sep 20, 2014 Posts 20 Reaction score 1 Dec 24, 2014 #1 eti jamani ni kweli kwamba majibu ya appeals ya mikopo yametoka kwa baadh ya watu.?na kama yametoka unaangalizia wap jina lako..!
eti jamani ni kweli kwamba majibu ya appeals ya mikopo yametoka kwa baadh ya watu.?na kama yametoka unaangalizia wap jina lako..!
mkubwa 21 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2014 Posts 442 Reaction score 118 Dec 25, 2014 #2 mercy heart said: eti jamani ni kweli kwamba majibu ya appeals ya mikopo yametoka kwa baadh ya watu.?na kama yametoka unaangalizia wap jina lako..! Click to expand... Majina ya appeal huwa wanatuma chuoni kwan upo mwaka wa ngap., jarbu kuconsult na loanboard officer wa chuo.
mercy heart said: eti jamani ni kweli kwamba majibu ya appeals ya mikopo yametoka kwa baadh ya watu.?na kama yametoka unaangalizia wap jina lako..! Click to expand... Majina ya appeal huwa wanatuma chuoni kwan upo mwaka wa ngap., jarbu kuconsult na loanboard officer wa chuo.