Kwa wale waliohitimu kidato cha 6 mwaka huu,, na wale wenye kulifuatilia hili,,

Kwa wale waliohitimu kidato cha 6 mwaka huu,, na wale wenye kulifuatilia hili,,

Joined
Apr 3, 2013
Posts
53
Reaction score
0
Jaman naomba TCU-GUIDEBOOK IKITOKA TUPEANE TAARIFA. Nilifanya mtiani wa form six mwaka 2012. ila hiki kijiji nilipo matatzo yan.
 
Mkuu kwani results umeshaziona mpaka useme unaenda university mwaka huu?
 
Jaman naomba TCU-GUIDEBOOK IKITOKA TUPEANE TAARIFA. Nilifanya mtiani wa form six mwaka 2012 na nategemea kwenda univercity mwaka huu. Chonde chonde wandugu,, tupeane taarifa zozote zinazohusiana na hilo.

Kakojoe ulale dogo!
 
Acha kujiachia'achia wewe!! umeombwa u-reply?? au kiere'eretu!! boya wee..
 
mtian ulifanyika february 2012 but skufanikiwa kwenda mwaka huo. nipo kijijin ndugu full giza!!, kama we ni mdau, waeza nipa msaada kwa hlo.
 
Mkuu kwani results umeshaziona mpaka useme unaenda university mwaka huu?

Ukiwa unapanga mambo yako panga kama vile utaishi milele usipende kuweke negative ktk mipango yako ni dalili za woga na kutojiamini.
 
Jaman naomba TCU-GUIDEBOOK IKITOKA TUPEANE TAARIFA. Nilifanya mtiani wa form six mwaka 2012 na nategemea kwenda univercity mwaka huu. Chonde chonde wandugu,, tupeane taarifa zozote zinazohusiana na hilo.

Tayari Guide book imeishatoka. tembelea tovuti ya tcu.
 
Back
Top Bottom