Kwa wale walioipenda Princess Agents, ile Couple yetu pendwa inarudi kwenye Legend of Shen LI Mwaka huu

Kwa wale walioipenda Princess Agents, ile Couple yetu pendwa inarudi kwenye Legend of Shen LI Mwaka huu

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses,

Kwanza niwe mkweli tu, napenda sana movie za martial arts na ujasusi. Hii Drama ya Princess Agents ni tofauti kabisa na drama za kichina zilizokuwa zimezoeleka. Baada ya kuangalia Nirvan in fire sikudhan kama ntakuja pata drama ya kichina nzuri tena, yenye mkono na ujasusi.

Princess agents kama hujaiangalia na ni mpenzi wa drama za mkono, ujasusi, mapenzi etc, basi nakushaur uiangalie.

Mule kacheza mwamba fln anaitwa Lin Gengxin au Kenny Lin, jamaa ni kati ya actors wenye utofauti sana sababu actors wa kichina na korea sikuhz wanataka kuwa kama dada zao, ila jamaa anatuwakilisha vzr kabisa coz yupo cold, smart na mkono anajua. Kaigiza kama Yuwen Yue akiwa na mdada Zhao Liying kama Xinger.

Hii drama ni kati ya most viewed chinese dramas of all time. Ilifanya watu wataman kuwaona Xinger na Yuwen yue kwenye season 2 lkn kesi ya plagiarism dhidi ya director wake ndo ikafanya drama iishie kwenye cliff hanger.

Lakin habari njema ni kwamba hio onscreen couple inakuja kwenye drama nyingine mwaka huu kwa jina la THE LEGEND OF SHEN LI. Nmeangalia traiilers inaonekana ni ngoma kali sana, Lin Genxin hana show mbovu akicheza kama Cold actor.

Unaweza angalia pia God of war, mule alicheza kama Zhao Zhilong a.k.a Zhao Yun ambae kwenye real life story alikua ni warrior mmoja hatari sana enzi za Three kingdom era huko China.
60eYed_4c.jpg
 
Mbona season tayari walishaanza kutoa trela,dah ilishia patamu,jamaa Sasa hatujui ndio Alifia kwenye barafu au vipi,season 2 ingekua kali sana
 
Mbona season tayari walishaanza kutoa trela,dah ilishia patamu,jamaa Sasa hatujui ndio Alifia kwenye barafu au vipi,season 2 ingekua kali sana
Trailler za youtube wanabumba tu.

Ile kesi bado ipo mahakaman coz waliiga novel ya jamaa fln hv.

Ila ukisoma novel Yuwen Yue alipona, sababu kama uliangalia vzr zile ep za mwisho babu yake yuwen yue alipata hofu kwamba yuwen yue ataingia kwenye hatari. So baada ya jamaa kuondoka, babh yake alituma kile kikosi chao cha pale home kikiongozwa na yule bodyguard wa Yuwen. Na hao ndo walimwokoaga jamaa kule kwenye barafu. Ila babu yake akamtema sababu aliaibisha familia kisa kadem, ndo akaenda kuishi sehemu nyingine

Miaka baadae akaja kukutana na Xinger walizaa hadi mtoto, jamaa akawa mfalme wa nchi fln hv alianzisha yeye
 
Back
Top Bottom