Guys nina plan la kufanya research kuhusu Greenhouse farming......ninaishi Dar na ningependa kufanya research na kupata mawaidha mawili matatu hata kwenda kuangalia angalia baadhi ya sehemu hapa Dar ambazo greenhouse farming.inafanyika..
Kama kuna.mtu anayejishughulisha na greenhouse farming hapa Dar naomba ani PM tafadhali
Kama kuna.mtu anayejishughulisha na greenhouse farming hapa Dar naomba ani PM tafadhali