Kwa wale waliokosa na wasioridhika na viwango vya fedha ya mikopo, muda wa kuapeal ndio huu.

Kwa wale waliokosa na wasioridhika na viwango vya fedha ya mikopo, muda wa kuapeal ndio huu.

Nabihu

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
294
Reaction score
110
nilipata kuona uzi humu ndani unatanabaisha kuhusu ukataji rufaa kwa waliokosa mkopo.
Hivi ni kweli hili jambo lipo???na taratibu zake zinakuaje?
 
Yeah mtu anae kata rufaa ni yule aliye hukumiawa! Namaanisha kama hujaridhika na kiasi ulichopewa basi unaapeal ila kama huna grade test yoyote sidhan kama inawezekana lasivo yatatokea ya academic year 2011/2012. Never giveup
 
hapana mimi nakataa according to heslb ni kuwa yeyote ambaye hajafurahishwa na matokeo yake nikimanisha aliepata kidogo na hata yule aliekosa pia
 
Tembelea http://olas.heslb.go.tz/ get registered na download appeal form. Asenteni.
 
Akhsante kwa Taarifa mkuu. Ngoja tujaribu kukata hiyo rufaa maana hatuelewi hatma yetu ya masomo kwa mwaka huu.
 
Inafunguka lakini inaonekana bado haijaanza kufanya kazi vizuri.

 
Tuendelee kuvuta subira inaweza leo kufanya kazi rasmi.

 
Back
Top Bottom