Kwa wale waliooa,kuolewa au wana wachumba na bado wana wapenzi JF tukutane hapa!

Hahahahaha lol! Mie hata sijui naye hakuuliza wale jamaa walitaka kojo lipi lol! 🙂🙂

Hahaha
BAK shkamo... Kojo alopimwa Tundu wa Lisu ni lipi kwani
 
@mbitayaza Umekomenti Halafu Hujanitaja,ujue Mungu Anakuona
 
Naona una mpango wa kupeperusha ndege wa watu hapa!
 
Sikuelewa kichwa cha habari, ngoja nitoke zangu mie [emoji124][emoji124][emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…