Kwa wale waliooa,kuolewa au wana wachumba na bado wana wapenzi JF tukutane hapa!

Ujue kuna kojo za aina mbili sijui hapa unamaanisha kojo lipi hasa!? Kojo ambalo ni kojo kojo au kojo la nanihii?
😛😛😛
Itakuwa kojo la usaliti
 
hhaha bangi sio nzuri kwakweli@behaviourist
Shemeji msema kweli ni mpenzi wa mungu hata wewe bado kidogo utakuwa na mpenzi mwingine huku JF pia,bado kidogo utampata mzee mwenzako!![emoji4][emoji4][emoji4]
 
hahaha unahis ule uzi nilikua natafta mume eh!POLE SANA !ni vile hunifaham tu my dear naona toka jana umenikomalia sana !
Siyo ule uzi bali ni maoni yangu tu!.....Kwani hujaanza kupokea PM lukuki za wazee wenzako wa JF kama wenzako akina Inna jamani?[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…