Kwa wale waliopigwa za uso forex, pitia huku wengine wajifunze

Joined
Apr 19, 2018
Posts
83
Reaction score
115
Kuna wimbi kubwa la vijana kutaka kujiingiza kwenye biashara ya foreign exchange lakini, wengi wana mihemko tu hawajui a,b,c's za huko.

Actually wengi wameingia huko na bahati mbaya wameangukia mikononi mwa scammers "Matapeli".

Lengo siyo kusutana, lengo kufundishana kutokana na makosa. Hivyo basi kama mwenzetu ulitangulia na umeona mengi hasa yale mabaya ambayo hutamani wenzako yawakute, tunaomba Utusimulie japo kwa kifupi tu, tupate nondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…