Kwa wale waliosoma alichokiandika aliyekuwa CEO wa Simba na Yanga Senzo atawaonea huruma Yanga wakienda Afrika Kusini Wiki ijayo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Ni kweli nimekaa Tanzania na Mimi sasa ni Mwanamchi mwana Yanga SC ila nawaonya Yanga SC kuwa wahakikishe katika Mechi yao ya Dar es Salaam dhidi ya Marumo Gallants FC wajitahidi wafunge Goli kuanzia 3 kwenda mbele ila wakifunga Goli 2 wajue wakija Kurudiana nao huku Afrika Kusini watakuwa na Mchezo mgumu na Watafungwa Goli nyingi zaidi kwani Marumo Gallants FC wakiwa Uwanja wake wa Nyumbani huwa na Mpira wa Spidi sana huku wakiwa na Hasira ya Ushindi kama Nyuki wanaolinda Mzinga wenye Asali na Malkia ndani yake" amesema Senzo Mbatha Mazingisa aliyekuwa CEO wa Simba SC na baadae Yanga SC.

Haya huwa mnanibishia sana na Kipopoma GENTAMYCINE hapa JamiiForums nikisema Ukweli au Nikichambua Soka sasa naomba na leo pia Mbishieni mwana Yanga SC Mwenzenu Senzo Mbatha Mazingisa kwa Ukweli wake Kuntu aliousema kama mna huo Ubavu.
 
Mikia poleni sana
 
Rejea uzi wako ulioandika baada ya mechi na pyramid
 
Sawa Chambuzi Popoma la JamiiForums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…