Kwa wale waliosoma UDSM

Kwa wale waliosoma UDSM

gobraco

Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
54
Reaction score
22
ushauri wakuu, nasoma udsm , master nimelipa ada 3/4 bado 1/4 nimezuliwa kufanya final exam na kulazimishwa kuandika barua ya kuomba special september, na cna matarajio ya kupata iyo robo till sept, jee ntaweza ruhusiwa kufanya nilipe nkichukua vyeti o ndo disco?
 
So sad bora wangekuruhusu ufanye wazuie results.Elimu sasa ni biashara.
 
Fuata taratibu unazoambiwa hapo chuoni na mambo yako yatakwenda vyema. La,yatavurugika
 
Pole sana, sua ndiyo kimbilio la wanyonge! Ukishalipa nusu ya ada hamna bugudha hadi kitabu kirudi kwa external examiner hapa marekebisho hadi ulipe ada yote iliyobaki.
 
Lipa Ada tu kaka. Hakuna option. Kwa kuwa umemaliza coursework, kajipange siku ukipata utarudi. Ili extension ikiwa kubwa sana unalipia muda unapozidi robo ya mwaka.
 
Back
Top Bottom