0767854945
Member
- Jul 5, 2013
- 74
- 2
Nimepata habari ya kuwa matokeo ya wizara ni wiki lijalo aliyethibitisha ni mmoja wa wafanyakazi wa ofisi za kanda za nyanda za juu magharibi hivyo nawaomba wenzangu tulioomba tuvute subira ni kipindi cha maombi sana