Kwa wale waliotuma maombi wizara ya afya

0767854945

Member
Joined
Jul 5, 2013
Posts
74
Reaction score
2
Nimepata habari ya kuwa matokeo ya wizara ni wiki lijalo aliyethibitisha ni mmoja wa wafanyakazi wa ofisi za kanda za nyanda za juu magharibi hivyo nawaomba wenzangu tulioomba tuvute subira ni kipindi cha maombi sana
 
Haya kama ni kweli tunasubiria tuone ila du nilipo ona hiyo tittle hapo juu, "Kwa wale waliotuma maombi wizara ya afya". Duu nkajua ndo tayari kishaachiwa, GOD HELP.
 
Nimepata habari ya kuwa matokeo ya wizara ni wiki lijalo aliyethibitisha ni mmoja wa wafanyakazi wa ofisi za kanda za nyanda za juu magharibi hivyo nawaomba wenzangu tulioomba tuvute subira ni kipindi cha maombi sana

unasema kwel bro?
 
hehehe! si ndio maana nikauliza! Sasa badala ya kutoa jibu mmeanza kukebehi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…