Kwa wale waliowahi kupata like au Reply ya CEO wa JF ndugu Maxence Melo tukutane hapa

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama heading inavyojieleza ni Ngumu sana kupata like au reply ya CEO wa Jf Ndugu Maxence melo kama Uzi wako hauna Fact

Kama wewe umeshawahi kuipata tukutane hapa .

......!
 
Kwani yeye pia ni member humu?
 
Kama heading inavyojieleza ni Ngumu sana kupata like au reply ya CEO wa Jf Ndugu Maxence melo kama Uzi wako hauna Fact

Kama wewe umeshawahi kuipata tukutane hapa .

......!
Ngoja nimwite akupe like, ukitoa Pointi Maxence Melo sio mchoyo wa like, watu ambao ni wachoyo wa like ni viongozi wa serikali kama Mwigulu Nchemba tetetetetetete
 
Hizo mambo mbona kawaida tu...jamaa max sio mtu wa kubana sana vitu kama like na reply labda kama wewe ni mgeni hapa JF
 
Ninamtafuta sana huyu mtoto,
nina ishue naye, mkimuona
naomba mnishtue.
 
Hizo mambo mbona kawaida tu...jamaa max sio mtu wa kubana sana vitu kama like na reply labda kama wewe ni mgeni hapa JF
Ndio maana nimesema tukutane hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…